Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 39:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 39 Wakati huo mfalme wa Babiloni, Merodak-baladani mwana wa Baladani alimtumia Hezekia barua na zawadi,+ kwa maana alisikia kwamba alikuwa mgonjwa na sasa amepona.+ 2 Hezekia akawakaribisha kwa furaha* na kuwaonyesha nyumba yake yenye hazina+—fedha, dhahabu, mafuta ya zeri na mafuta mengine yenye thamani, ghala lake lote la silaha, na kila kitu kilichokuwa katika hazina zake. Hakuna kitu chochote ambacho Hezekia hakuwaonyesha katika nyumba yake mwenyewe* na katika milki yake yote.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki