Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 39:5-7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Sasa Isaya akamwambia Hezekia: “Sikia neno la Yehova wa majeshi, 6 ‘Tazama! Siku zinakuja, na vitu vyote vilivyo katika nyumba yako* na vitu vyote ambavyo mababu zako wamehifadhi mpaka leo hii vitapelekwa Babiloni. Hakuna chochote kitakachobaki,’+ asema Yehova.+ 7 ‘Na baadhi ya wana wako mwenyewe utakaowazaa watachukuliwa na kuwa maofisa wa makao ya mfalme katika jumba la mfalme wa Babiloni.’”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki