Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 26:27, 28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 “‘Na ikiwa hamtanisikiliza, nanyi mkinipinga kwa ushupavu licha ya mambo hayo, 28 nitazidisha upinzani wangu dhidi yenu,+ na mimi mwenyewe nitawaadhibu mara saba kwa sababu ya dhambi zenu.

  • Kumbukumbu la Torati 28:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 “Lakini msipoisikiliza sauti ya Yehova Mungu wenu kwa kuwa waangalifu kutenda amri zake zote na sheria zake ninazowaamuru leo, laana hizi zote zitawajia na kuwatangulia:+

  • 2 Wafalme 23:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Yehova akasema: “Nitaliondoa Yuda pia mbele za macho yangu,+ kama nilivyoliondoa Israeli;+ nami nitalikataa jiji hili nililochagua, Yerusalemu, na nyumba ambayo nilisema hivi kuihusu: ‘Jina langu litaendelea kukaa humo.’”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki