Mambo ya Walawi 26:33 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 33 Nitawatawanya miongoni mwa mataifa,+ nitachomoa upanga nanyi mtakimbizwa;+ na nchi yenu itaharibiwa, na majiji yenu yatabaki ukiwa.+ Kumbukumbu la Torati 4:26 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 26 nachukua mbingu na dunia ili ziwe mashahidi dhidi yenu leo ya kwamba kwa hakika mtaangamia haraka kutoka katika nchi mnayovuka Yordani kwenda kuimiliki. Hamtaishi kwa muda mrefu katika nchi hiyo, badala yake mtaangamizwa kabisa.+
33 Nitawatawanya miongoni mwa mataifa,+ nitachomoa upanga nanyi mtakimbizwa;+ na nchi yenu itaharibiwa, na majiji yenu yatabaki ukiwa.+
26 nachukua mbingu na dunia ili ziwe mashahidi dhidi yenu leo ya kwamba kwa hakika mtaangamia haraka kutoka katika nchi mnayovuka Yordani kwenda kuimiliki. Hamtaishi kwa muda mrefu katika nchi hiyo, badala yake mtaangamizwa kabisa.+