Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 18:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Daudi alienda na wanaume wake na kuwaua wanaume 200 Wafilisti, na Daudi akamletea mfalme idadi kamili ya magovi yao, ili afanye mapatano ya ndoa na mfalme. Basi Sauli akampa Daudi Mikali binti yake awe mke wake.+

  • 2 Samweli 3:13, 14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Daudi akamwambia: “Vema! Nitafanya agano pamoja nawe. Lakini nakuomba ufanye jambo moja tu, usithubutu kuja mbele yangu mpaka umlete kwanza Mikali,+ binti ya Sauli, utakapokuja kuniona.” 14 Kisha Daudi akawatuma wajumbe kwa Ish-boshethi,+ mwana wa Sauli, akisema: “Nipe mke wangu Mikali, niliyemchumbia kwa magovi 100 ya Wafilisti.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki