Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 8:9-11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Basi Mfalme Toi wa Hamathi+ akasikia kwamba Daudi alikuwa amelishinda jeshi lote la Hadadezeri.+ 10 Kwa hiyo Toi akamtuma Yoramu mwana wake kwa Mfalme Daudi ili amjulie hali na kumpongeza kwa sababu alikuwa amepigana na Hadadezeri na kumshinda (kwa maana mara nyingi Hadadezeri alimshambulia Toi); na Yoramu alimletea Daudi vitu vya fedha, dhahabu, na shaba. 11 Mfalme Daudi akavitakasa vitu hivyo ili viwe vya Yehova, pamoja na fedha na dhahabu aliyotakasa kutoka kwa mataifa yote aliyokuwa ameyashinda:+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki