Isaya 28:27 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 Kwa maana jira haisagwi kwa kifaa cha kupuria,+Na gurudumu la gari la kukokotwa halizungushwi juu ya bizari. Badala yake, jira hupigwa kwa fimbo,Na bizari kwa gongo.
27 Kwa maana jira haisagwi kwa kifaa cha kupuria,+Na gurudumu la gari la kukokotwa halizungushwi juu ya bizari. Badala yake, jira hupigwa kwa fimbo,Na bizari kwa gongo.