7 Nyumba hiyo ilijengwa kwa mawe ya machimboni ambayo tayari yalikuwa yamechongwa,+ hivi kwamba hakuna nyundo wala mashoka wala kifaa chochote cha chuma kilichosikika katika nyumba hiyo ilipokuwa ikijengwa.
9 Majengo hayo yote yalijengwa kwa mawe ghali+ yaliyochongwa kwa vipimo, yaliyokatwa ndani na nje kwa misumeno ya mawe, kuanzia kwenye msingi mpaka juu ya ukuta, na upande wa nje mpaka kwenye ule ua mkuu.+