Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Mambo ya Nyakati 29:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Na Yehova akamfanya Sulemani kuwa mkuu sana machoni pa Waisraeli wote na kumpa fahari ya kifalme ambayo hakuna mfalme yeyote wa Israeli aliyewahi kuwa nayo kabla yake.+

  • Mhubiri 2:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Basi nikawa mkuu, nikamzidi mtu yeyote aliyenitangulia Yerusalemu.+ Nami nikaendelea kuwa na hekima yangu.

  • Mathayo 6:28, 29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Pia, kwa nini mnahangaika kuhusu mavazi? Jifunzeni kutoka kwa mayungiyungi* ya shambani, jinsi yanavyokua; hayafanyi kazi, wala hayasokoti; 29 lakini ninawaambia hata Sulemani+ katika utukufu wake wote hakupambwa kama maua hayo.

  • Mathayo 12:42
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 42 Malkia wa kusini atasimamishwa katika hukumu pamoja na kizazi hiki naye atakihukumu, kwa sababu alikuja kutoka miisho ya dunia ili asikie hekima ya Sulemani.+ Lakini tazama! hapa pana mtu mkuu kuliko Sulemani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki