Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 37:25, 26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Kisha akatumia mbao za mshita kujenga madhabahu ya kufukizia uvumba.+ Ilikuwa ya mraba, yenye urefu wa mkono mmoja, upana wa mkono mmoja, na kimo cha mikono miwili. Pembe zake zilikuwa sehemu ya hiyo madhabahu.+ 26 Aliifunika kwa dhahabu safi sehemu yake ya juu, pande zote kuizunguka na pia pembe zake, na kutengeneza ukingo wa dhahabu kuizunguka.

  • Ufunuo 8:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Malaika mwingine, akiwa ameshika chombo cha uvumba* cha dhahabu,+ akafika na kusimama kwenye madhabahu, naye akapewa kiasi kikubwa cha uvumba+ ili autoe pamoja na sala za watakatifu wote juu ya madhabahu ya dhahabu+ ambayo ilikuwa mbele ya kile kiti cha ufalme.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki