Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 10:18-20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Mfalme pia alitengeneza kiti kikubwa cha ufalme cha pembe za tembo+ na kukifunika kwa dhahabu safi.+ 19 Kiti hicho cha ufalme kilikuwa na ngazi sita, kilikuwa na kifuniko cha mviringo mgongoni, nacho kilikuwa na mikono pande zote mbili, na simba wawili+ walisimama kando ya mikono hiyo. 20 Na kulikuwa na simba 12 waliosimama kwenye ngazi hizo sita, wawili kwenye kila ngazi, mmoja upande huu na mwingine upande wa pili. Hakuna ufalme mwingine wowote uliokuwa umetengeneza kiti kama hicho.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki