1 Wafalme 15:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Kisha Asa akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake katika Jiji la Daudi babu yake; na Yehoshafati+ mwanawe akawa mfalme baada yake. 1 Wafalme 22:41 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 41 Yehoshafati+ mwana wa Asa aliwekwa kuwa mfalme wa Yuda katika mwaka wa nne wa utawala wa Mfalme Ahabu wa Israeli.
24 Kisha Asa akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake katika Jiji la Daudi babu yake; na Yehoshafati+ mwanawe akawa mfalme baada yake.
41 Yehoshafati+ mwana wa Asa aliwekwa kuwa mfalme wa Yuda katika mwaka wa nne wa utawala wa Mfalme Ahabu wa Israeli.