Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 12:11, 12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Waliwapa wale waliowekwa kusimamia kazi katika nyumba ya Yehova pesa zilizokuwa zimehesabiwa. Nao wakawalipa maseremala na wajenzi waliokuwa wakifanya kazi katika nyumba ya Yehova,+ 12 na pia waashi na watu waliokata mawe. Pia walinunua mbao na mawe yaliyochongwa kwa ajili ya kurekebisha sehemu zilizoharibika za nyumba ya Yehova na kutumia pesa hizo kulipia gharama nyingine zote za kurekebisha nyumba hiyo.

  • 2 Mambo ya Nyakati 34:10, 11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Kisha wakawapa pesa hizo wale waliowekwa kusimamia kazi katika nyumba ya Yehova. Halafu wafanyakazi waliokuwa katika nyumba ya Yehova wakazitumia kuikarabati na kuirekebisha nyumba hiyo. 11 Waliwapa mafundi na wajenzi ili wanunue mawe yaliyochongwa na mbao za kuunganisha na za kutengeneza maboriti ya kujenga nyumba ambazo wafalme wa Yuda waliacha ziharibike.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki