Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 20:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Jeshi hilo lilikuwa na wanaume 700 mashujaa waliotumia mkono wa kushoto. Kila mmoja wao aliweza kurusha jiwe kwa kombeo na kulenga unywele* bila kukosea.

  • 1 Samweli 17:49
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 49 Daudi akautia mkono wake ndani ya mfuko wake, akachukua jiwe kutoka humo, na kulirusha kwa kombeo. Akampiga Mfilisti huyo kwenye paji la uso, na jiwe hilo likapenya katika paji la uso wake, akaanguka chini kifudifudi.+

  • 1 Mambo ya Nyakati 12:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Hao ndio wanaume walioenda kumwona Daudi kule Siklagi+ wakati ambapo hakuwa na uhuru wa kutembea popote kwa sababu ya Sauli+ mwana wa Kishi, nao walikuwa miongoni mwa mashujaa hodari waliomuunga mkono vitani.+ 2 Walijihami kwa upinde, nao waliweza kutumia mkono wa kulia na mkono wa kushoto+ kurusha mawe kwa kombeo+ au kupiga mishale kwa upinde. Walikuwa wazao wa ndugu za Sauli, kutoka Benjamini.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki