Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Mambo ya Nyakati 28:5-8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Kwa hiyo Yehova Mungu wake akamtia mikononi mwa mfalme wa Siria,+ hivi kwamba wakamshinda, wakachukua mateka wengi, na kuwapeleka Damasko.+ Alitiwa pia mikononi mwa mfalme wa Israeli, ambaye aliwaua watu wake wengi. 6 Kwa maana Peka+ mwana wa Remalia aliwaua watu 120,000 huko Yuda katika siku moja, wote walikuwa wanaume jasiri, kwa sababu Waisraeli walikuwa wamemwacha Yehova Mungu wa mababu zao.+ 7 Na Zikri, shujaa Mwefraimu, alimuua Maaseya mwana wa mfalme na Azrikamu aliyekuwa msimamizi wa jumba la mfalme,* na Elkana aliyekuwa wa pili baada ya mfalme. 8 Zaidi ya hayo, Waisraeli waliwachukua mateka ndugu zao 200,000—wanawake, wana, na mabinti; walichukua pia nyara nyingi na kuzipeleka Samaria.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki