Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 12:48
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 48 Ikiwa mgeni anaishi pamoja nawe, naye anataka kusherehekea Pasaka ya Yehova, ni lazima kila mwanamume wa familia yake atahiriwe. Kisha anaweza kukaribia ili kuisherehekea, naye atakuwa kama mwenyeji wa nchi. Lakini mwanamume yeyote ambaye hajatahiriwa hapaswi kuila Pasaka.+

  • Hesabu 9:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 “‘Ikiwa unaishi na mgeni, anapaswa pia kumtayarishia Yehova dhabihu ya Pasaka.+ Anapaswa kuitayarisha kulingana na sheria na utaratibu uliowekwa wa Pasaka.+ Ninyi nyote mtafuata sheria moja, mkaaji mgeni pamoja na mwenyeji wa nchi.’”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki