Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Mambo ya Nyakati 9:22-27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Wote waliochaguliwa kuwa walinzi kwenye vizingiti walikuwa 212. Waliishi katika vijiji vyao kulingana na orodha ya ukoo wao.+ Daudi na Samweli yule mwonaji+ waliwaweka katika wadhifa wa kuaminiwa. 23 Watu hao pamoja na wana wao walisimamia utumishi wa ulinzi wa malango ya nyumba ya Yehova,+ nyumba ya hema. 24 Walinzi wa malango walikuwa pande zote nne—mashariki, magharibi, kaskazini, na kusini.+ 25 Mara kwa mara, ndugu zao walipaswa kuja kwa siku saba kutoka katika vijiji vyao ili kutumikia pamoja nao. 26 Kulikuwa na walinzi wakuu* wanne waliowekwa katika wadhifa huo wa kuaminiwa. Walikuwa Walawi, nao walisimamia vyumba* na hazina za nyumba ya Mungu wa kweli.+ 27 Walikuwa wakikesha usiku kucha katika vituo vyao kuzunguka nyumba yote ya Mungu wa kweli, kwa maana walishughulikia utumishi wa ulinzi na kutunza ufunguo, nao walikuwa wakifungua nyumba hiyo asubuhi baada ya asubuhi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki