22 Aliifunika nyumba yote kwa dhahabu mpaka nyumba yote ilipokamilika; pia aliifunika kwa dhahabu madhabahu yote+ iliyokuwa karibu na chumba cha ndani zaidi.
3 ‘Ni nani aliyebaki miongoni mwenu ambaye aliiona nyumba hii* katika utukufu wake wa mwanzoni?+ Sasa mnaionaje? Je, hamwoni kwamba ni duni ikilinganishwa na ilivyokuwa?’+