Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nehemia 6:10-12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Kisha nikaenda nyumbani kwa Shemaya mwana wa Delaya mwana wa Mehetabeli, alipokuwa amejifungia ndani. Akasema: “Tupange wakati ili tukutane katika nyumba ya Mungu wa kweli, ndani ya hekalu, nasi tufunge milango ya hekalu, kwa maana wanakuja kukuua. Wanakuja kukuua usiku.” 11 Lakini nikasema: “Je, mtu kama mimi anapaswa kukimbia? Je, mtu kama mimi anaweza kuingia hekaluni na aendelee kuishi?+ Sitaingia!” 12 Ndipo nikatambua kwamba Mungu hakuwa amemtuma, bali Tobia na Sanbalati+ walikuwa wamemkodi ili atabiri maneno hayo kunihusu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki