Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezra 1:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Mfalme Koreshi wa Uajemi akavikabidhi kwa Mithredathi mweka-hazina ambaye alivihesabu na kumpa Sheshbazari*+ mkuu wa Yuda.

  • Ezra 1:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Vyombo vyote vya dhahabu na vya fedha vilikuwa 5,400. Sheshbazari alivibeba vyote wakati yeye na watu waliohamishwa+ walipoondoka Babiloni kwenda Yerusalemu.

  • Zekaria 4:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 “Mikono ya Zerubabeli imeweka msingi wa nyumba hii,+ na mikono yake mwenyewe itaikamilisha.+ Nanyi mtalazimika kujua kwamba Yehova wa majeshi amenituma kwenu.

  • Mathayo 1:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Baada ya kupelekwa uhamishoni Babiloni, Yekonia akawa baba ya Shealtieli;

      Shealtieli akawa baba ya Zerubabeli;+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki