Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 16:14, 15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Shangilieni wakati wa sherehe yenu,+ ninyi na wana wenu, mabinti wenu, watumwa wenu wa kiume, vijakazi wenu, Walawi, wakaaji wageni, mayatima, na wajane walio ndani ya majiji yenu. 15 Kwa siku saba mtamfanyia Yehova Mungu wenu sherehe+ mahali ambapo Yehova atachagua, kwa kuwa Yehova Mungu wenu atabariki mazao yenu yote na kila jambo mnalofanya,+ nanyi mtakuwa na shangwe kwelikweli.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki