-
1 Samweli 27:5, 6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Ndipo Daudi akamwambia Akishi: “Ikiwa nimepata kibali machoni pako, naomba unipe mahali katika mojawapo ya majiji ya mashambani, ili niishi huko. Kwa nini mimi mtumishi wako niishi pamoja nawe katika jiji hili la kifalme?” 6 Basi Akishi akampa Siklagi+ siku hiyo. Ndiyo sababu tangu siku hiyo Siklagi limekuwa jiji la wafalme wa Yuda.
-