Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 20:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 lakini siku ya saba ni sabato kwa Yehova Mungu wako. Usifanye kazi yoyote, wewe wala mwana wako wala binti yako wala mtumwa wako wala kijakazi wako wala mnyama wako wa kufugwa wala mgeni aliye katika makazi* yako.+

  • Kutoka 34:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 “Kwa siku sita mtafanya kazi, lakini siku ya saba mtapumzika.*+ Mtapumzika hata wakati wa kulima na wa kuvuna.

  • Kutoka 35:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Mtafanya kazi kwa siku sita, lakini siku ya saba itakuwa takatifu kwenu, ni sabato ya pumziko kamili kwa Yehova.+ Mtu yeyote atakayefanya kazi siku hiyo atauawa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki