Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 5:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Ikiwa nimepata kibali chako Ee mfalme, nawe mfalme ukipenda kutimiza ombi langu na kunipa ninachotaka, naomba mfalme uje pamoja na Hamani kwenye karamu ambayo nitawaandalia kesho; na kesho nitafanya kama unavyosema mfalme.”

  • Esta 7:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Malkia Esta akajibu: “Ikiwa nimepata kibali chako, Ee mfalme, nawe mfalme ukipenda, naomba uuokoe uhai wangu,* na pia uhai wa watu wangu.+

  • Esta 8:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Esta akasema: “Ukipenda Ee mfalme na ikiwa nimepata kibali chako, na ikiwa ni jambo jema kwako mfalme, nawe umependezwa nami, acha agizo liandikwe la kufuta barua za njama ya Hamani+ mwana wa Hamedatha Mwagagi,+ alizoandika ili kuwaangamiza Wayahudi katika mikoa yote ya* mfalme.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki