Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 20:6, 7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Kisha Mungu wa kweli akamwambia katika ndoto: “Ninajua kwamba ulifanya jambo hili kwa moyo mnyoofu, kwa hiyo nilikuzuia usinitendee dhambi. Ndiyo sababu sikukuruhusu umguse. 7 Sasa mrudishe mke wa mwanamume huyo, kwa maana mwanamume huyo ni nabii,+ atakuombea dua,+ nawe utaendelea kuishi. Lakini usipomrudisha, ujue kwamba kwa hakika utakufa, wewe na watu wako wote.”

  • Mathayo 27:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Zaidi ya hayo, alipokuwa ameketi kwenye kiti cha hukumu, mke wake akampelekea ujumbe huu: “Mwache mtu huyo mwadilifu, kwa maana niliteseka sana leo katika ndoto kwa sababu yake.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki