Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 49:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 “Benjamini+ ataendelea kurarua kama mbwamwitu.+ Asubuhi atakula mawindo, na jioni atagawanya nyara.”+

  • 1 Samweli 9:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Ndipo Sauli akasema: “Je, mimi si Mbenjamini kutoka katika kabila dogo zaidi kati ya makabila ya Israeli,+ na je, familia yangu si familia ya chini kabisa kati ya familia zote za kabila la Benjamini? Basi kwa nini unaniambia hivyo?”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki