Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 11:31-34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Kisha upepo kutoka kwa Yehova ukavuma ghafla na kuanza kuleta kware kutoka baharini na kuwaangusha kotekote kambini,+ kwenye eneo la umbali wa siku moja hivi kila upande kuzunguka kambi, wakafikia kimo cha mikono miwili* hivi kutoka ardhini. 32 Basi siku hiyo yote, mchana na usiku wote, na siku nzima iliyofuata waliendelea kuokota kware. Hakuna aliyeokota chini ya homeri kumi,* nao waliwaanika kila mahali kambini. 33 Lakini nyama ilipokuwa ingali katikati ya meno yao, kabla hawajaitafuna, hasira ya Yehova ikawaka dhidi ya watu, na Yehova akaanza kuwapiga watu kwa maangamizi makubwa sana.+

      34 Kwa hiyo wakapaita mahali hapo Kibroth-hataava,*+ kwa sababu hapo ndipo walipowazika watu waliokuwa na tamaa na pupa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki