Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 2:33, 34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Mwanamume wako ambaye nitamwacha aendelee kutumikia kwenye madhabahu yangu atayadhoofisha macho yako na kukuletea huzuni, lakini idadi kubwa ya watu wa nyumba yako itauawa kwa upanga.+ 34 Na mambo yatakayowapata wana wako wawili, Hofni na Finehasi, yatakuwa ishara kwako: Wote wawili watakufa siku ileile.+

  • 1 Samweli 4:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Isitoshe, Sanduku la Mungu lilitekwa, na wana wawili wa Eli, Hofni na Finehasi, wakafa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki