-
Matendo 7:4, 5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Ndipo akaondoka katika nchi ya Wakaldayo, akaanza kuishi Harani. Na kutoka hapo, baada ya baba yake kufa,+ Mungu akamwagiza ahamie nchi hii ambayo mnaishi sasa.+ 5 Lakini hakumpa urithi wowote ndani yake, hapana, hata sehemu ya kutosha kukanyaga kwa mguu; bali aliahidi atampa aimiliki yeye na baada yake uzao wake,*+ ingawa bado hakuwa na mtoto.
-