Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 12:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Ndipo Yehova akampiga Farao na watu wa nyumbani mwake kwa mapigo makali kwa sababu ya Sarai, mke wa Abramu.+

  • Mwanzo 20:2, 3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Abrahamu akasema tena kumhusu Sara mke wake: “Huyu ni dada yangu.”+ Kwa hiyo Abimeleki mfalme wa Gerari akaagiza Sara aletwe, naye akamchukua.+ 3 Baadaye, Mungu akamjia Abimeleki katika ndoto usiku na kumwambia: “Wewe ni kama mtu aliyekufa kwa sababu ya mwanamke huyu uliyemchukua,+ kwa maana ameolewa naye ni mke wa mwanamume mwingine.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki