-
2 Samweli 16:7, 8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Shimei alimtukana akisema: “Ondoka, ondoka, wewe mtu mwenye hatia ya damu! Wewe mtu asiyefaa kitu! 8 Yehova amekulipiza kwa sababu ya hatia yote uliyopata kwa kumwaga damu ya watu wa nyumba ya Sauli, ambaye umechukua mahali pake na kutawala ukiwa mfalme, lakini Yehova anautia ufalme mikononi mwa Absalomu mwana wako. Sasa msiba umekupata kwa sababu wewe ni mtu mwenye hatia ya damu!”+
-