Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 11:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Ndipo Yesu akasema: “Ninakusifu hadharani, Baba, Bwana wa mbingu na dunia, kwa sababu umewaficha mambo haya wenye hekima na wenye elimu nawe umeyafunua kwa watoto wadogo.+

  • Luka 2:46, 47
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 46 Baada ya siku tatu wakampata hekaluni akiwa ameketi katikati ya walimu akiwasikiliza na kuwauliza maswali. 47 Lakini wote waliomsikiliza walikuwa wakishangazwa na majibu yake na uwezo wake wa kuelewa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki