Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 22:44-46
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 44 Utaniokoa kutoka kwa watu wangu ambao hutafuta makosa.+

      Utanilinda niwe kiongozi wa mataifa;+

      Watu ambao siwajui watanitumikia.+

      45 Wageni watakuja wakijikunyata mbele zangu;+

      Watanitii kwa sababu ya mambo watakayosikia kunihusu.*

      46 Wageni watakosa ujasiri;*

      Watakuja wakitetemeka kutoka katika ngome zao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki