Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Danieli 6:21, 22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Mara moja Danieli akamjibu mfalme: “Ee mfalme, uishi milele. 22 Mungu wangu alimtuma malaika wake akafunga vinywa vya simba,+ nao hawajanidhuru,+ kwa sababu sikupatikana na hatia mbele zake; wala sijakutendea jambo lolote baya, Ee mfalme.”

  • 1 Wakorintho 10:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Hakuna majaribu ambayo yamewapata ninyi ila yale yaliyo ya kawaida kwa watu.+ Lakini Mungu ni mwaminifu, naye hatawaacha mjaribiwe kupita mnavyoweza kuhimili,+ bali pamoja na majaribu hayo ataifanya pia njia ya kutokea ili mweze kuyavumilia.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki