Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Methali 6:33-35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Atapata tu majeraha na kuvunjiwa heshima,+

      Na aibu yake haitafutiliwa mbali.+

      34 Kwa maana wivu humfanya mume awake hasira;

      Hataonyesha huruma anapolipiza kisasi.+

      35 Hatakubali fidia* yoyote;

      Hutamtuliza, hata ukimpa zawadi kubwa kadiri gani.

  • Methali 7:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Mpaka mshale unapochoma ini lake;

      Kama ndege anayekimbia kuingia mtegoni, hajui kwamba hilo litamgharimu uhai wake.*+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki