Ayubu 27:13, 14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Hilo ndilo fungu ambalo Mungu humpa mtu mwovu,+Urithi ambao wakandamizaji hupokea kutoka kwa Mweza-Yote. 14 Wanawe wakiwa wengi, watauawa kwa upanga,+Na wazao wake hawatakuwa na chakula cha kutosha.
13 Hilo ndilo fungu ambalo Mungu humpa mtu mwovu,+Urithi ambao wakandamizaji hupokea kutoka kwa Mweza-Yote. 14 Wanawe wakiwa wengi, watauawa kwa upanga,+Na wazao wake hawatakuwa na chakula cha kutosha.