Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Methali 1:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 “Ninyi wajinga mtaendelea kuupenda ujinga mpaka lini?

      Nanyi wadhihaki mtaendelea kufurahia dhihaka mpaka lini?

      Nanyi wapumbavu mtaendelea kuchukia ujuzi mpaka lini?+

  • Waroma 1:20, 21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Kwa maana sifa zake zisizoonekana, zinaonekana waziwazi tangu kuumbwa kwa ulimwengu na kuendelea, kwa sababu zinaeleweka kupitia vitu vilivyoumbwa,+ yaani, nguvu zake za milele+ na Uungu,+ hivi kwamba hawana sababu ya kujitetea. 21 Kwa maana ingawa walimjua Mungu, hawakumtukuza yeye akiwa Mungu wala hawakumshukuru, bali walikuwa wajinga katika fikira zao na mioyo yao isiyo na ufahamu ikawa na giza.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki