Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 3:7-9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Na sasa, Yehova Mungu wangu, umeniweka mimi mtumishi wako niwe mfalme baada ya Daudi baba yangu, ingawa mimi ni kijana* tu na sina uzoefu.*+ 8 Mimi mtumishi wako ni miongoni mwa watu wako uliowachagua,+ watu wengi sana hivi kwamba hawawezi kuhesabiwa wala idadi yao kujulikana. 9 Basi nipe mimi mtumishi wako moyo mtiifu ili niwahukumu watu wako,+ nitofautishe mema na mabaya,+ kwa sababu ni nani anayeweza kuwahukumu watu hawa wako ambao ni wengi sana?”*

  • Methali 9:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  9 Mfundishe mwenye hekima, naye atazidi kuwa na hekima.+

      Mfundishe mwadilifu, naye atazidi kuelimika.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki