Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 19:25-27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Alipofika* Yerusalemu kumpokea mfalme, mfalme alimuuliza: “Mefiboshethi, kwa nini hukwenda pamoja nami?” 26 Akamjibu: “Bwana wangu mfalme, mtumishi wangu+ alinidanganya. Kwa maana mimi mtumishi wako nilikuwa nimesema, ‘Acha niweke matandiko juu ya punda wangu ili nipande juu yake na kwenda pamoja na mfalme,’ kwa maana mimi mtumishi wako ni kilema.+ 27 Lakini alinichongea kwako bwana wangu mfalme.+ Hata hivyo, wewe bwana wangu mfalme ni kama malaika wa Mungu wa kweli, basi fanya jambo lolote unaloona ni jema kwako.

  • Methali 25:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  8 Usiharakishe kupeleka kesi mahakamani,

      Kwa maana utafanya nini baadaye jirani yako akikuaibisha?+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki