Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 24:16-18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Mara tu Daudi alipomaliza kumwambia maneno hayo, Sauli akasema: “Je, hiyo ni sauti yako, Daudi mwanangu?”+ Kisha Sauli akaanza kulia kwa sauti kubwa. 17 Akamwambia Daudi: “Wewe ni mwadilifu kuliko mimi, kwa maana umenitendea mema lakini mimi nimekulipa kwa uovu.+ 18 Naam, leo umeniambia mema uliyotenda kwa kukosa kuniua Yehova aliponitia mikononi mwako.+

  • 1 Samweli 26:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Ndipo Sauli akasema: “Nimetenda dhambi.+ Rudi, mwanangu Daudi, kwa maana sitakudhuru tena, kwa sababu umeona uhai wangu kuwa wenye* thamani+ leo. Naam, nimetenda kipumbavu, nami nimekosea sana.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki