Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 7:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Basi wakamtundika Hamani kwenye mti aliokuwa ameutengeneza ili kumtundika Mordekai juu yake, na hasira ya mfalme ikatulia.

  • Zaburi 9:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Mataifa yamezama chini katika shimo walilochimba;

      Mguu wao wenyewe umenaswa katika wavu waliouficha.+

  • Methali 28:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Anayempotosha mnyoofu afuate njia ya uovu ataanguka katika shimo lake mwenyewe,+

      Lakini wasio na lawama watarithi kilicho chema.+

  • Mhubiri 10:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Anayechimba shimo huenda akaanguka ndani yake;+ na anayebomoa ukuta wa mawe huenda akaumwa na nyoka.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki