Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ayubu 3:17-19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Katika kifo hata waovu hawasumbui tena;

      Na humo waliochoka hupumzika.+

      18 Humo wafungwa hukaa pamoja kwa utulivu;

      Hawasikii sauti ya mtu anayewalazimisha kufanya kazi.

      19 Humo wadogo ni sawa na wakubwa,+

      Na humo mtumwa yuko huru kutoka kwa bwana wake.

  • Mhubiri 2:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Kisha nikasema moyoni mwangu: “Kinachompata mpumbavu ndicho kitakachonipata mimi pia.”+ Sasa, basi, nilipata faida gani kwa kuwa na hekima kupita kiasi? Basi nikasema moyoni mwangu: “Hili pia ni ubatili.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki