- 
	                        
            
            Wimbo wa Sulemani 1:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
6 Msinikodolee macho kwa sababu mimi ni mweusi,
Kwa sababu jua limenichoma.
Wana wa mama yangu walinikasirikia;
Walinifanya kuwa mlinzi wa mashamba ya mizabibu,
Lakini sikulinda shamba langu mwenyewe la mizabibu.
 
 -