-
Isaya 54:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Kwa maana utaisahau aibu ya ujana wako,
Nawe hutaikumbuka tena fedheha ya ujane wako.”
-
-
Sefania 3:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Kwa maana wakati huo nitawaondoa kati yenu watu wenye kiburi wanaojigamba;
Nanyi hamtakuwa tena na kiburi katika mlima wangu mtakatifu.+
-