Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 118:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Yehova yuko upande wangu; sitaogopa.+

      Mwanadamu atanifanya nini?+

  • Danieli 3:16, 17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Shadraki, Meshaki, na Abednego wakamjibu mfalme: “Ee Nebukadneza, hatuhitaji kukujibu kuhusiana na jambo hili. 17 Ikiwa ni lazima iwe hivyo, Mungu wetu tunayemtumikia anaweza kutuokoa kutoka katika tanuru hilo lenye moto mkali, Ee mfalme, na kutuokoa kutoka mikononi mwako.+

  • Mathayo 10:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Na msiwaogope wale wanaoua mwili lakini hawawezi kuua nafsi;*+ badala yake, mwogopeni yule anayeweza kuangamiza nafsi na mwili katika Gehena.*+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki