Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 8:14-17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Yesu alipoingia nyumbani kwa Petro, alimwona mama mkwe wa Petro+ akiwa amelala akiugua homa.+ 15 Basi Yesu akamgusa mkono,+ naye akapona homa, akasimama na kuanza kumhudumia. 16 Lakini ilipofika jioni, watu walimletea watu wengi wenye roho waovu; akawafukuza hao roho kwa kusema neno moja, naye akawaponya wote waliokuwa wakiteseka, 17 ili yatimie maneno haya yaliyosemwa kupitia nabii Isaya: “Yeye mwenyewe aliyachukua magonjwa yetu na kuyabeba maradhi yetu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki