Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 27:12-14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Lakini alipokuwa akishtakiwa na wakuu wa makuhani na wazee, hakujibu.+ 13 Ndipo Pilato akamwambia: “Je, husikii ni mambo mangapi wanayoshuhudia dhidi yako?” 14 Lakini hakumjibu hata neno moja, hivi kwamba gavana akashangaa sana.

  • Matendo 8:32, 33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Alikuwa akisoma kifungu hiki cha Andiko: “Kama kondoo, alipelekwa machinjioni, na kama mwanakondoo aliye kimya mbele ya mtu anayemnyoa, vivyo hivyo yeye hafungui kinywa chake.+ 33 Alipokuwa akiaibishwa, hakutendewa kwa haki.+ Ni nani atakayeeleza habari za kizazi chake? Kwa sababu uhai wake unaondolewa duniani.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki