Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 29:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Yehova anasema: “Watu hawa hunikaribia kwa vinywa vyao

      Nao huniheshimu kwa midomo yao,+

      Lakini mioyo yao iko mbali sana nami;

      Na hofu yao kunielekea inategemea amri za wanadamu ambazo wamefundishwa.+

  • Ezekieli 33:32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Tazama! Kwao, wewe ni kama wimbo wa mapenzi, unaoimbwa kwa sauti tamu na kuchezwa kwa ustadi kwa kinanda. Watasikia maneno yako, lakini hakuna yeyote atakayeyatenda.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki