Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 13:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Sasa watu wa Sodoma walikuwa waovu, nao walitenda dhambi nzito machoni pa Yehova.+

  • Isaya 3:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  8 Kwa maana watu wa Yerusalemu wamejikwaa,

      Na watu wa Yuda wameanguka,

      Kwa sababu wanampinga Yehova kwa maneno na matendo;

      Wanatenda kwa ukaidi mbele za uwepo wake mtukufu.*+

       9 Hali ya nyuso zao inatoa ushahidi dhidi yao,

      Nazo zinatangaza dhambi yao kama Sodoma;+

      Hawajaribu kuificha.

      Ole wao,* kwa maana wanajiletea msiba!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki