Isaya 65:25 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Mbwamwitu na mwanakondoo watalisha pamoja,Simba atakula majani kama ng’ombe dume,+Na chakula cha nyoka kitakuwa mavumbi. Hawatadhuru wala kusababisha uharibifu wowote katika mlima wangu wote mtakatifu,”+ asema Yehova.
25 Mbwamwitu na mwanakondoo watalisha pamoja,Simba atakula majani kama ng’ombe dume,+Na chakula cha nyoka kitakuwa mavumbi. Hawatadhuru wala kusababisha uharibifu wowote katika mlima wangu wote mtakatifu,”+ asema Yehova.